Serikali Kuu Lyrics – Paul Maker

Serikali Kuu Lyrics & Song Details: English Song Serikali Kuu is sung by Paul Maker.

Song Title Serikali Kuu
Singer Paul Maker
Lyrics Young Lunya, Moni Centrozone, Salmin Swaggz, Lil Dwin, Country Boy, Deddy

Music video

Serikali Kuu Lyrics

Flow Na Midondoko ni Unyama Wanaungana na Nawafichaficha
Nahakikisha Nawaficha Wakinipa Feature
Ustar Nao Ukitokeza Tuu Mapichapicha
Ndio Maana Mama Yenu simuweki wazi Namfichaficha
Balaa Balaaa Naamoka Af nadrop Bars
Internatial af Beegani Nna All Stars
Ndoto ni kuwa na mansion yenye 4 Cars
Muhumi ila wallet inaaa Cash Na Toopaz
Kutwa kuucha Mnapigana Vijembe
Hautopata Papai chini ya MuEmbe
Sasa wee jifanye ni Chizi wa Mirembe
UNiguuse Nikuchanechane na viwembe
Ukali Ni mistari, Mikali inajulinaka
Na hapa ndipo iyo MaMistari Inapatikana
Miwako inaaonekana Maunyunyu Mengi kwa Sana
Natoka Na Pisi kali na Bado Haijajulikana

[Chorus] – Deddy
Hii ndo serikali kuu ya mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko vindooo, vindooo
Vindooo, vindooo
Serikali kuu ya mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko vindooo, vindooo
Vindooo, vindooo

[Verse] – Lil Dwin
Living on the edge am tippin all of the scales
Skipped all my classes out here ringin all the bells
Born in the gutta so sucker i was born ready
Spitting all this smoke sijawai vuta hata fegi, Aah
Wanangu wanyama ka wanaishi 88
Afu rappers wanaboa sjui nini tu nishafanye
Okay Maybe
Niwacheki tu kisiri tukutane
Afu niwape tu mistari hawa wachizi wanichane
The kid is crazy, Damn
Still repping dom click
And i’ve always been a flame but am never gon flick
And the kid was born sick
Tokea nyumba zenye X
Sema ngeli za kishua zinafanya watoto watick, shit
Label zinanichek like dwin tusign tomorrow
Ma ex wananichek like dwin tupashe kipolo
Afu dogo mwamba ka jina lakwanza ni sholo
All these rappers suck ka pisi zinavonyonya **o


Hii ndo serikali kuu ya mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko vindooo, vindooo
Vindooo, vindooo
Serikali kuu ya mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko vindooo, vindooo
Vindooo, vindooo

[Verse] – Country Boy
Paul Maker Can You Please Cut The Beat Off
Nataka Niongeee Wambie Watege Si-Ki-o And
Waskize kile nachospeak,Very Carefully ‘cause I Never Repeat
Ukali ni Nini, Mana naona mkali ni mimi
Marapper wako Wakali,Wanajua Hatari Ni mimi
Usicheze Na Mimi,Utakua kama unacheza Jini
Sijui Simba Mamba Wanakoma Na mimi
Alafu nakurespect,Ila usinidharau kisa umeanza Zamani
Etii You Are the Best Wakati Niki Ku Google Hauonekani
SHhhhh Yeah Its Funny,But you Have to Grow
You See yo bitch Call Me honey Cz you aint Got Doow.!
I’m The Illest There Is never been
Hata sina Crown Wananiita KING
NIko vindo niko BOB MARLEY,NA BEBE NIPIGE KIMOKO NKALALE


Hii ndo serikali kuu ya mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko vindooo, vindooo
Vindooo, vindooo
Serikali kuu ya mizuka
Kuu ya mizuka, kuu ya mizuka
Watasema tuko vindooo, vindooo
Vindooo, vindooo

~~~~THE END~~~~

If you need chords, karaoke or translation please comment down 🙂

Thank you for reading song “ Serikali Kuu Lyrics” sung by Paul Maker till this end.
If you have any comments, complains or Suggestions to Nepali Songs Lyrics please comment down
or,
Email us at : [email protected]
or
Fill this contact form : Click here For Contact Form
Submit your lyrics, status or blog For promotionSubmit your content from here

~~Be social~~
Medium: https://medium.com/@NepaliSongsLyrics
Facebook: https://www.facebook.com/NpSongslyrics
Instagram: https://www.instagram.com/npsongslyrics/
Twitter: https://twitter.com/npsonglyrics

Sharing Is Caring
SHARE THIS BEAUTIFUL LYRICS NOW!

Subscribe to our Newsletter From Comment or Footer section for recent updates (We Promise to send only Quality Emails)

Leave a Reply